Ingia / Jisajili

Malaika Wa Bwana

Mtunzi: P. Kalinji

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 10,169 | Umetazamwa mara 16,262

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Malaika wa Bwana, uchukue sadaka, upeleke mbele ya uso wa Mungu x 2

Mashairi:

  1. Ni mazao ya nchi yetu, na kazi yetu wanadamu Malaika
  2. Mkate mazao ya shamba, divai tunda la mzabibu Malaika
  3. Ufikishe sadaka hii, karibu na kiti cha enzi Malaika
  4. Sadaka yetu ifanyike, mbele ya uso wa Muumba Malaika

Maoni - Toa Maoni

Pãrtõö Õrgänïst Jun 17, 2020
Wimbo mtamu sana https://youtu.be/YB-fmWUjbjk

Cathibert calyst kamihanda Nov 21, 2019
Wimbo mzuri Sana

Toa Maoni yako hapa