Mtunzi: Ivan Reginald Kahatano
> Tazama Nyimbo nyingine za Ivan Reginald Kahatano
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Noeli
Umepakiwa na: Ivan Kahatano
Umepakuliwa mara 1,628 | Umetazamwa mara 4,020
Download Nota Download MidiKIITIKIO: Malaika wa Mbinguni wanaimba kwa shangwe,(tena/huku) wanafurahi kuzaliwa kwake mkombozi wetu masiha. Wanaimba wakisema
Gloria in excelsis Deo. Tuungane na jeshi la malaika, wanaofurahia fumbo hili (nasi). Noeli, Noeli, Noeli, Noeli,Noeli, ni siku ambayo Bwana
alizaliwa. Noeli, Noeli, Noeli, Noeli. Ni siku amabayo mwokozi wetu alizaliwa. CHEZA FREE ORGAN PAUSE KABLA YA KUIMBA SHAIRI.
VIIMBILIZI: 1. Leo kazaliwa mkombozi wetu, Malaika wa Mbinguni wafurahia fumbo hili.
2. Tumwimbie nyimbo nyimbo za shangwe kwani ulimwengu wote umempata mkombozi.
3. Twende tukamwone Mkombozi wetu ambaye leo amezaliwa.
4. Tuige mfano wa Mamajusi waliokwenda kumsujudu.
5. Atukuzwe Baba naye Mwana naye Roho Mtakatifu.