Ingia / Jisajili

Mama Maria Furahi Mwanao Kafufuka

Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)

Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari | Mama Maria | Pasaka | Shukrani

Umepakiwa na: Albert Maneno

Umepakuliwa mara 536 | Umetazamwa mara 1,883

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mama Maria Furahi Mwanao Kafufuka, Malaika wa Mbinguni  wanaimba kwa furaha, nyimbo nzuri za furaha shangwe kubwa na nderemo, wakimshangilia Kristu mfufuka!


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa