Ingia / Jisajili

Maneno Matamu

Mtunzi: HENDRY POLYCARP KIMARIO
> Mfahamu Zaidi HENDRY POLYCARP KIMARIO
> Tazama Nyimbo nyingine za HENDRY POLYCARP KIMARIO

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Sebastian Ndibalema

Umepakuliwa mara 15,807 | Umetazamwa mara 20,689

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

LEDAS HENRY MHOTORI Feb 25, 2024
Ninaomba tuwekeeni nyimbo nyingine za mtunzi huyu mfano.hamkujua? ya ufufuko,ni wapi ya kuzaliwa na zingine nyingi

Tilly Baroani Nov 28, 2023
Nyimbo tamu. Natamania pia wimbo wako : Ni wapi amezaliwa.

Augustino Florian Jan 27, 2023
Wimbo mzuri sana huu nimeuangalia zaidi ya mara mia, na huwa nausikiliza kila niamkapo japo siyo wa kusikiliza wakat wote maana una content moja lakini nimejikuta nausikiliza mno hongera sana Hendry P. Kimario,

Side sadi naaoro Dec 27, 2022
Hongera Ni nzuri

JOSEPH ZACHARIA Dec 03, 2022
Kazi nzur Sana natakakujua unapatikan wapi

James May 13, 2021
Wimbo safi

Erasmus aloyce kitange Feb 03, 2021
Hongera ongeza bidii

Toa Maoni yako hapa