Ingia / Jisajili

Maombi yangu yafike

Maneno ya wimbo

Maombi yangu yafike mbele zako Ee BWANA wangu, uutegee ukelele wangu, sikio lako Ee BWANA x2

1:Maana nafsi yangu imeshiba, imeshiba taabu, nao uhai wangu umekaribia kuzimu.

2:Nimehesabiwa pamoja, nawashukao shimoni, nimekuwa kama mtu asiye na masaada.

3:Nimetupwa miongoni mwao, wale walokufa, kama walio lala usingizi makaburini.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa