Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 595 | Umetazamwa mara 2,247
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 32 Mwaka C
MAOMBI YANGU YAFIKE
KIITIKIO;Maombi yangu yafike mbele zako X2,Uutegee ukelele wangu sikio lako ee Bwana X2.
MASHAIRI;
1.Ee Bwana Mungu wa wokovu wangu , mchana kutwa nimelia mbele-zako.
2.Maana nafsi yangu imeshiba, na uhai wangu umekaribia kuzimu.
3.Ghadhabu yako imenilemea ,umeni-tesa kwa mawimbi-yako.