Ingia / Jisajili

MAOMBI YANGU YAFIKE MBELE ZAKO...

Mtunzi: AVITUS M. RESPICIUS
> Mfahamu Zaidi AVITUS M. RESPICIUS
> Tazama Nyimbo nyingine za AVITUS M. RESPICIUS

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: AVITUS RESPICIUS

Umepakuliwa mara 550 | Umetazamwa mara 1,603

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 32 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Maombi yangu yafike mbele zako, Uutegee ukelele wangu sikio lako Ee Bwana.×2
  2. 1.Maana nafsi yangu imeshiba taabu, na uhai wangu umekaribia kuzimu.
  3. 2.Nimehesabiwa pamoja nao washukao shimoni, nimekuwa kama mtu asiye na msaada.
  4. 3.Mimi umenilaza katika shimo la chini katika mahali penye giza vilindini.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa