Ingia / Jisajili

Maonyo Mbalimbali

Mtunzi: F. E. Nyanza
> Tazama Nyimbo nyingine za F. E. Nyanza

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Restus Bravoo

Umepakuliwa mara 154 | Umetazamwa mara 163

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(usitende ovu usipate ovu jitahidi kukaa mbali na dhambi usisetende dhambi mara mbili hata dhambi moja haitakosa adhabu )×2 (usiseme Bwana tazama sadaka nao wingi wa sala usiwe daima mlegevu katika kusali nakutoa sadaka usitunge uongo kwakuwa hakuna tuma ini kwa hilo usihesabike pamoja na waovu kwani kumbuka ghadhabu haikawii)×2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa