Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 2,286 | Umetazamwa mara 7,538
Download Nota Download MidiKiitikio
Maria mama wa Mungu Maria utuombee sisi wakosefu. x 2
Mashairi
1. Salamu Maria umejaa neema umebarikiwa mama.
2. Ni kuliko wote umejaa neema umebarikiwa mama.
3. Bwana yuko nawe umejaa neema umebarikiwa mama
4. Wewe mama yetu umejaa neema umebarikiwa mama.
5. Wewe mlinzi wetu umejaa neema umebarikiwa mama.
6. Mwombezi wa wote umejaa neemaumebarikiwa mama.