Ingia / Jisajili

Maskini Huyu Aliita

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 1,051 | Umetazamwa mara 3,848

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MASKINI HUYU ALIITA

//:Maskini huyu (maskini) aliita na Bwana akasikia, na Bwana akasikia://

1. Nitamtukuza Bwana nyakati zote, sifa zake zitakuwa kinywani mwangu, katika Bwana nafsi yangu itajisifu, itajisifu.

2. Mtukuzeni Bwana pamoja nami na tuliadhimishe jina lake, tuliadhimishe pamoja; Nalimtafuta Bwana naye akanijibu, akaniponya na hofu zangu zote.

3. Onjeni muone, onjeni muone jinsi Bwana alivyo mwema, Bwana alivyo mwema. Heri yake anayemkimbilia Bwana, mcheni Bwana enyi watakarifu wake, wamchao hawapaungukiwi kitu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa