Mtunzi: Felician J. Mlyasele
> Mfahamu Zaidi Felician J. Mlyasele
Makundi Nyimbo: Epifania | Mwanzo
Umepakiwa na: Gasper Method Tungaraza
Umepakuliwa mara 896 | Umetazamwa mara 2,312
Download Nota Download MidiMATAIFA YOTE
Mataifa yote, ya Ulimwengu, watakusujudia Wewe Bwana, Mataifa yote, ya Ulimwengu, watakusujudia Wewe Bwana.
Mashairi.
1. Ee Mungu mpe mfalme hukumu zako, na mwana wa mfalme haki haki yako, atawaamua watu wako kwa haki, na watu wako walioonewa kwa hukumu.
2. Siku zake yeye mtu mwenye haki atastaewi, na wingi wa amanihata mwezi utakapokoma, na awe na enzi toka bahari hata bahari, toka mto hata miishoya dunia.
3. Wafalme waTarshishi na visiwa walete kodi, Wafalme wa Sheba na Seba watoe vipawa, naam, wafalme wote na wamsujudie, mataifa yote wamsujudie.