Ingia / Jisajili

Mataifa Yote Ya Ulimwengu-2

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 178 | Umetazamwa mara 790

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MATAIFA YOTE YA ULIMWENGU Mataifa yote ya ulimwengu, mataifa yote ya ulimwengu*2 Mataifa mataifa, yote Watakusujudia ee, watakusujudia ee Bwana mataifa mataifa, {Mataifa yote (ee Bwana) ya ulimwengu yote (ee Bwana) watakusujudia, (ee Bwana) ee Bwana} *2 1. Ee Mungu, mpe mfalme hukumu zako, Na mwana wa mfalme haki yako. Atawaamua watu wako kwa haki, Na watu wako walioonewa kwa hukumu. 2. Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi, Na wingi wa amani hata mwezi utakapokoma. Na awe na enzi toka bahari hata bahari, Toka Mto hata miisho ya dunia. 3. Wafalme wa Tarshishi na visiwa na walete kodi; Wafalme wa Sheba na Seba na watoe vipawa. Naam, wafalme wote na wamsujudie; Na mataifa yote wamtumikie.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa