Mtunzi: Fanikio Joseph Lindi
> Mfahamu Zaidi Fanikio Joseph Lindi
> Tazama Nyimbo nyingine za Fanikio Joseph Lindi
Makundi Nyimbo: Epifania
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 2,247 | Umetazamwa mara 5,011
Download Nota Download MidiZAB.72:1-2,7-8,10-13
FANIKIO JOSEPH LINDI
NYAKAHOJA-MWANZA
+255 784 04 44 3
Mataifa Mataifa yote mataifa ya ulimwengu (wa) watakusujudia (wa) watakusujudia (wa) watakusujudia ee Bwana x 2
1. Ee Mungu umpe Mfalme hukumu zako, Na mwana wa Mfalme haki yake ataaamua watu wako kwa haki na watu wako walioonewa kwa hukumu
2. Siku zake yeye mtu mwenye haki atastawi na wingi wa amani hata mwezi utakapo koma na awe nae siku toka bahari hata na bahari
3. Wafalme wa tarshishi na visiwa walete kodi Wafalme wa sheba na Seba na watoe vipawa Naam Wafalme wote na wamsujudie Naam na mataifa yote wamtumikie
4. Kwa maana atamwokoa mhitaji aliapo na mtu aliyeonewa pasipo na msaidizi atawahurumia aliye dhaifu na masikini na nafsi za wahitaji ataziokoa