Ingia / Jisajili

Matunda Ya Kupanda

Mtunzi: K. F. Manyenye
> Mfahamu Zaidi K. F. Manyenye
> Tazama Nyimbo nyingine za K. F. Manyenye

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Kiyaya F. Manyenye

Umepakuliwa mara 425 | Umetazamwa mara 1,922

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kila apandaye haba, atavuna haba.Apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.

Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni wala si kwa  lazima maana Mungu, humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa