Ingia / Jisajili

Maumbo Matakatifu

Mtunzi: Kelvin B Bongole
> Mfahamu Zaidi Kelvin B Bongole
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin B Bongole

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Kelvin Bongole

Umepakuliwa mara 634 | Umetazamwa mara 2,043

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Maumbo haya ya Mkate na Divai ni mwili kweli ni Damu kweli ya Bwana Yesu x 2
    karibu moyoni mwangu Yesu Bwana wa mapendo uwe nami siku zote x 2
2.Jioni ile kabla ya kifo chake aligeuza Mkate kuwa mwili mwili wake kweli x 2
  .karibu moyoni mwangu Yesu Bwana wa mapendo uwe nami siku zote x 2
3.Pia aligeuza kikombe cha Divai kuwa Damu kweli iletayo wokovu.x 2
   karibu moyoni mwangu Yesu Bwana wa mapendo uwe nami siku zotex2
4.Ndugu simama jongea Karamuni ukampokee Yesu Rohoni mwako leo x 2
       karibu moyoni mwangu Yesu Bwana wa mapendo uwe nami siku zote x 2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa