Mtunzi: Cosmas Mbwaga
> Mfahamu Zaidi Cosmas Mbwaga
Makundi Nyimbo: Mwaka wa Huruma ya Mungu
Umepakiwa na: Gabriel Kapungu
Umepakuliwa mara 1,095 | Umetazamwa mara 2,353
Download Nota Download MidiMAWAZO NINAYOWAWAZIA NINYI.
Bwana asema mawazo ninayo wawazia ninyi, ni mawazo ya Amani, wala si mawazo mabaya X2. Nanyi mtaniita nami nitawasikiliza, nami nitawarudisha , toka mahali pote watu wenu waliofungwa. x2.
1: Bwana na Mungu wetu tunakuomba utujarie, tufurahi katika kukutumikia.
2: Maana kama tunakutumikia siku zote, wewe ndiwe Muumba wa vitu vyote.
3: Tunayo heri heri iliyokamili siku zote, siku zote milele na milele.