Mtunzi: French Carol Melody
> Tazama Nyimbo nyingine za French Carol Melody
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: respiqusi mutashambala
Umepakuliwa mara 3,061 | Umetazamwa mara 4,632
Download Nota Download Midi1. Mbali KULE nasikia malaika wa mbingumi wakiimba wengia pia wimbo huo juu angani. Gloria in excelsis Del
2. Wachunga tuambieni habari za wimbo huo (nyimbo hizo) kwenye kwimbiwa ni nani juu ya nani sifa hizo. Gloria....
3. Je? Hamjui jambo kuu la kuzaliwa Mwokozi, habari za wimbo huo ndiyo kumshukuru Mwenyezi