Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Beatus Idama
Umepakuliwa mara 17,026 | Umetazamwa mara 30,351
Download Nota Download MidiMBALI KULE NASIKIA (Angels we have on high)
1. Mbali kule nasikia malaika wa mbinguni, wakiimba wengi pia wimbo huo juu angani
Kiitikio
Gloria in exclesis Deo, Gloria in excelsis Deo
2. Wachunga tuambieni sababu za nyimbo hizo, mwenye kui'mbiwa ni nani? Juu ya nani sifa hizo?...Kiitikio
3. Je hamjui jambo kuu la kuzaliwa Mwokozi, habari ya nyimbo hizo ni kumshukuru Mwenyezi...Kiitikio