Mtunzi: Ezekiel Massangu
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Emil Mwemezi
Umepakuliwa mara 970 | Umetazamwa mara 1,820
Download Nota Download MidiMbingu na zifurahi nchi na ishangilie (mbi-ngu) na zifurahi nchi na ishangilie X2
1. Mashamba yashangilie na vyote vilivyomo, ndipo miti yote ya msituni iimbe kwa furaha.
2. Semeni katika mataifa Bwana ametemalaki, naam ulimwengu umethibitika usitikisike.