Ingia / Jisajili

Mbingu Zauhubiri Utukufu Wa Mungu

Mtunzi: Barnabas $alamba
> Mfahamu Zaidi Barnabas $alamba
> Tazama Nyimbo nyingine za Barnabas $alamba

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Watakatifu | Zaburi

Umepakiwa na: Barnabas Salamba

Umepakuliwa mara 49 | Umetazamwa mara 97

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 28 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 28 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mbingu za uhubiri utukufu wa Mungu na angalaitangaza kazi ya mikono yake 1.mchana husemezana na mchana usiku hutolea usiku maarifa. 2.hakuna lugha wala maneno sauti yao haisikilikani , sauti yao imeenea duniani mwote ,na maneno yao hata miisho ya ulimwengu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa