Mtunzi: Gervas K. Bihogora
> Tazama Nyimbo nyingine za Gervas K. Bihogora
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: France Kihombo
Umepakuliwa mara 757 | Umetazamwa mara 3,609
Download Nota Download MidiMeza ya Bwana iko tayari twende tushibishe roho zetu Yesu akae ndani yake nasi ndani yake x2
1. Kweli Bwana Yesu anatupenda amejitoa sadaka kwetu
2. Twende kwa furaha tumealikwa kwa unyenyekevu tushiriki
3. Yeye aulae mwili na kunywa damu yangu anao uzima