Ingia / Jisajili

Meza Ya Upatanisho

Mtunzi: Joseph Rwiza
> Mfahamu Zaidi Joseph Rwiza
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rwiza

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Joseph Rwiza

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Meza ya upatanisho imekwisha andaliwa Bwana Yesu anatualika kushiriki ×2

  • 1. Hii ni karamu ya Upendo wa Kristo kwetu twendeni tushiriki 
  • 2. Mwili wake Yesu na Damu ya Bwana Yesu ndiyo uzima wetu
  • 3. Wenye moyo safi na moyo mweupe hao watamuona

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa