Ingia / Jisajili

Meza Yake Bwana

Mtunzi: Gustav G. Hofi
> Mfahamu Zaidi Gustav G. Hofi
> Tazama Nyimbo nyingine za Gustav G. Hofi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gustav Hofi

Umepakuliwa mara 303 | Umetazamwa mara 1,732

Download Nota
Maneno ya wimbo

Meza yake Bwana imeshaandaliwa twende tukaijongee, ni mwili na damu ya Bwana Yesu Kristu twende tukampokee. Sasa ndugu yangu jiulize kama umestahili ili kumpokea Bwana Yesu, Bwana anakualika sasa ndugu anataka ushirika nawe, ungana na Yesu wa uzima. Ni upendo wake wa ajabu ndugu kutupa mwili na damu yake tupate uzima wa milele.

1. Ni upendo gani kujitoa chakula ili kuzishibisha roho za wanadamu, Yesu karibu moyoni ukaishi nami

2. Ni upendo gani kujitoa kinywaji ili kuituliza kiu ya nafsi zetu, Yesu karibu moyoni uniponye kiu.

3. Ewe Yesu wangu wa upendo mkubwa kaa ndani yangu nami niwe ndani yako, ungana nami kiumbe dhaifu niishi.

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa