Ingia / Jisajili

Mfalme Mtukufu

Mtunzi: Joseph Selestine
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Selestine

Makundi Nyimbo: Majilio | Matawi | Zaburi

Umepakiwa na: Evodius Kazoba

Umepakuliwa mara 185 | Umetazamwa mara 269

Download Nota
Maneno ya wimbo
Mfalme Mtukufu By. Joseph Selestine. Mfalme mfalme mtukufu apate kuingia :||: yeye ndiye mfalme, ndiye Mfalme mtukufu :|| 1. Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana dunia nao wote wakaao ndani yake. 2. Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari na juu ya mito ya maji alithibitisha. 3. Nina I atakaye panda katika mlima wa Bwana.? nani atakaye simama patakatifu pake.? 4. Mtu alie na mikono safi na moyo Mweupe asiye iinua nafsi yake kwa ubatili. 5. Atapokea Baraka kwa Bwana na haki kwa Mungu hiki ndicho kizazi cha wakutafutao Mungu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa