Mtunzi: T. C. Masologo
> Mfahamu Zaidi T. C. Masologo
> Tazama Nyimbo nyingine za T. C. Masologo
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 2,599 | Umetazamwa mara 6,059
Download Nota Download MidiMfalme mtukufu apate kuingia yeye ndiye Mfalme mtukufu x2
1. Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana dunia na wote wakao ndani yake
2. Maana ameweka misingi yake juu ya maji na juu ya mito aliithibitisha
3. Ni nani atakaye panda mlima wa Bwana nani atakaye simama patakatifu pake