Ingia / Jisajili

Mfanyieni Bwana Shangwe Dunia Yote

Mtunzi: Barnabas $alamba
> Mfahamu Zaidi Barnabas $alamba
> Tazama Nyimbo nyingine za Barnabas $alamba

Makundi Nyimbo: Anthem | Miito | Tenzi za Kiswahili | Zaburi

Umepakiwa na: Barnabas Salamba

Umepakuliwa mara 17 | Umetazamwa mara 50

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mfanyieni Bwana shangwe dunia yote x2 mtumikieni Bwana kwa furaha njoni mbele zake kwa kuimba x2 1.Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu aliyetuumba nasi tu watu wake na kondoo wa malisho yake. 2.Kwakuwa Bwana ndiye mwema rehema zake ni za milele na uaminifu wake vizazi na vizazi. 3.mfanyieni Bwana shangwe dunia yote mtumikieni Bwana kwafuraha njoni mbele zake kwakuimba.

Maoni - Toa Maoni

Chandika Sep 16, 2024
Hongera sana kazi nzuri sana

Toa Maoni yako hapa