Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 619 | Umetazamwa mara 2,093
Download Nota Download MidiFURAHINI KATIKA BWANA
Furahini katika Bwana, siku zote tena nasema furahini furahini Bwana yu karibu ...x2
1. Furahini daima katika Bwana nasema tena furahini furahiniBwana yu karibu.
2. Upole wenu na ujulikane na watu wote Bwana yu karibu furahini Bwana yu karibu.
3. Msijisumbue kwa neno lo lote ila kwa kila neno haja zenu zijulikane kwa mungu.