Mtunzi: Paul Tesha
> Mfahamu Zaidi Paul Tesha
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Watakatifu | Zaburi
Umepakiwa na: Paul Tesha
Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 3
Download Nota Download MidiMikononi mwako naiweka Roho yangu Ee Bwana x2
1. Uwe kwangu mwamba wa nguvu nyumba yenye maboma ya kuniokoa ndiwe genge langu na ngome yangu kwa ajili ya jina lako uniongoze unichunge
2. Mikononi mwako naiweka roho yangu umenikomboa Ee Bwana Mungu wa kweli bali mimi namtumainia Bwana na nishangilie nizifurahie fadhili zako
3. Umwangaze mtumishi wako kwa nuru ya uso wako uniokoe kwa ajili ya fadhili zako