Mtunzi: Leonard Mushumbusi
> Mfahamu Zaidi Leonard Mushumbusi
> Tazama Nyimbo nyingine za Leonard Mushumbusi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: Leonard Florence
Umepakuliwa mara 539 | Umetazamwa mara 2,028
Download Nota Download Midi1.Ni mambo mengi sana unayonitendea lazima nishukuru kwa mema hayo.
Bwana umeniumba kwa mfano wa sura yako tazama napendeza wote ni wema wako.
chorus;Mungu wangu milele nitakusifu milele,milele yote milele nitakuimbia zaburi*2;
2.Ee Mungu ni ajali nyingi unaniepusha ,magonjwa mbalimbali pia wanikinga.
chakula na mavazi nayo unanipatia,mimi kiumbe duni nikushukuruje wewe.chorus.
3.wanitofautisha nao viumbe wengine kwa sura yako wewe pia na utashi.
kipaji uimbaji mimi umenijalia , milele na milele Bwana nitakuimbia.chorus.