Ingia / Jisajili

Mimi Mwenyewe

Mtunzi: J. Sikanyika

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 688 | Umetazamwa mara 3,070

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mimi mwenyewe, mimi mwenyewe mimi mwenyewe nitawalisha kondoo wangu nitaalisha nami nami na mimi nitawalaza asema Bwana x2

1.       a) Mimi mwenyewe nitawalisha kondoo wangu nitawalaza asema Bwana,

b) Mimi ni juu ya wachungaji nitawalaza kondoo wangu asema Bwana

       2     a) Wataokolewa kwa mataifa watarudishwa (katika nchi yao wenyewe)

              b) Nitawalisha malisho mema na watalala (katika zizi asema Bwana)

      3      a) Nitawarudisha kondoo wangu waliopotea (katika zizi la-ke Bwana)

                b) Nitawafunga walovunjika na nitawapa (nguvu wagonjwa asema Bwana)


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa