Mtunzi: R. Temba
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 571 | Umetazamwa mara 2,607
Download Nota Download MidiMimi ndimi chakula kilichoshuka toka mbinguni asema Bwana x2
Mtu akila mili wangu na kuinywa damu yangu ataishi milele hakika asema Bwana x2
1. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu ataishi milele hakika asema Bwana
2. Amini nawaambieni yeye aniaminiye yuna uzima wa milele asema Bwana
3. Na chakula nitoacho ni mili na damu yangu kwa ajili ya uzima wa milele asema Bwana