Ingia / Jisajili

Mimi Ndimi Mzabibu Wa Kweli

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 470 | Umetazamwa mara 1,016

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 5 ya Pasaka Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 5 ya Pasaka Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 5 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana asema mimi ndimi mzabibu wa kweli nanyi ni matawi akaaye ndani yangu nami ndani yake huyo huzaa sana aleluya aleluya X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa