Ingia / Jisajili

Mimi Ni Alpha Na Omega

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 1,289 | Umetazamwa mara 4,004

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MIMI NI ALPHA NA OMEGA

//:Mimi ni Alpha na Omega, mwanzo na mwisho://
//:(Mungu) Mungu aliyekuwako, Mungu aliyeko, Mungu atakayekuja://

1. Yesu Kristo shahidi aliye mwaminifu, mzaliwa wa kwanza wa waliokufa na mkuu wa wafalme wa dunia.

2. Utukufu na ukuu una yeye hata milele na milele, Amina.


Maoni - Toa Maoni

vice Nov 03, 2016
hongela

Toa Maoni yako hapa