Ingia / Jisajili

Mimi Niutazame

Mtunzi: Jiwe San

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Martin Munywoki

Umepakuliwa mara 2,028 | Umetazamwa mara 4,688

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

{Mimi niutazame - Mimi niutazame 
Mimi niutazame - niutazame (uso) 
Niutazame uso wako katika haki} *2 
{Niamkapo nishibishwe * 3 
Nishibishwe kwa sura yako }*2

  1. Ewe Bwana nguvu zangu – nakupenda sana 
    Mungu wangu Mwamba wangu – nakupenda sana 
  2. Bwana Mungu wa majeshi – Mungu wa Israeli 
    Mungu wangu Mwamba wangu – nakupenda sana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa