Ingia / Jisajili

Misa Bondo

Mtunzi: Mbondo Bernard
> Mfahamu Zaidi Mbondo Bernard

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 1,248 | Umetazamwa mara 3,187

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bondo mass LYRICS
By Mbondo Bernard Mwania
@+254701943386

UTUKUFU

1. Utukufu juu(mbinguni) na amani duniani kwao watu(wote) wenye mapenzi mema
twakushukuru (shukuru) ewe mwenye utukufu wewe uli(liye) mwanakondoo wa mungu
Twakusifu- Tunakusifu
Twakweshimu- Twakuheshimu
Twakuabudu- Mwenye Utukufu(Sisi)
Twakutukuza *2

2. Bwana wetu yesu mwana wake mungu baba ewe mfalme wa mbingu ndiwe baba yetu
wewe unaye (naye)ondoa ondoa dhambi za dunia tusikili( li)ze pokea sala zetu

3. Wewe unaye (naye)keti kuume kwa baba tuhurumi(mi)e pokea sala zetu
kwani ndiwe pee-kee yako mtukufu pekee yako ee yesu umkombozi wetu

4. Kwa umoja wa roho mtufuku watukuzwa watukuzwa na baba milele amina *2

Nasadiki

1.nasadiki mwa mungu mmoja-nasadiki kweli :ndiye baba yetu mwenyezi- ninasadiki
Mwumba mbingu pia dunia - nadadiki kweli :nasadiki kwa yesu kristu- ninasadiki

2. Mwana wa pekee wa mungu- nasadiki kweli : mwenye kuzaliwa kwa baba- ninasadiki
akapata mwili kwa roho - nasadiki kweli : kazaliwa naye bikira - ninasadiki

3. Kisha yeye kasulubiwa - nasadiki kweli : kwa mamlaka yake pilato - ninasadiki
kwa ajili yetu kateswa - nasadiki kweli : aakafa na akazikwa - ninasadiki

4. Kafufuka katika wafu -nasadiki kweli : akapaa kule mbinguni- ninasadiki
Ameketi kuume kwake - nasadiki kweli : mungu baba yetu mwenyezi – ninasadiki

5. Ndipo atakapotokea – nasdiki kweli : ili awahukumu wote – ninasadiki
kwake roho mtakatifu – nasadiki kweli : kwa kanisa la katoliki : ninasadiki

6. Ushirika wa watakatifu – nasadiki kweli : ondoleo la dhambi zetu – ninasadiki
Nangojea ufufuko wa mwili – nasadiki kweli na uzima wa milele - ninasadiki


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa