Ingia / Jisajili

Misingi Ya Mbingu

Mtunzi: F. M. Shimanyi
> Mfahamu Zaidi F. M. Shimanyi
> Tazama Nyimbo nyingine za F. M. Shimanyi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo

Umepakiwa na: Ferdinand Moriasi

Umepakuliwa mara 824 | Umetazamwa mara 1,175

Download Nota
Maneno ya wimbo
1.Tangu Mungu alipoisimika misingi yake, hakuzifunga mboni wala kope zake. (Mbingu zimetanda zaelea kwa namna ya ajabu, wala hatujui misingiye ilikochimbwa, bali Mungu aliyezifanya kwa namna ya ajabu, huziratibisha kila wakati apendavyo.) 2. Mbingu zaenea kila upeo zatamalaki, nayo misingi yake ni fumbo milele. 3.Hazikusimikwa mahali panapoonekana, ni nguvu ya ajabu kutoka kwa Mungu. 4.Mungu alitamka neno nazo zikafanyika, ni mambo ya ajabu hayaelezeki.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa