Mtunzi: Fanikio Joseph Lindi
> Mfahamu Zaidi Fanikio Joseph Lindi
> Tazama Nyimbo nyingine za Fanikio Joseph Lindi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 536 | Umetazamwa mara 2,538
Download Nota Download MidiKwa kuwa mkate ni mmoja sisi tulio wengi ni mwili mmoja x2
Kwa maana sisi sote twashiriki mkate mmoja na kikombe moja kwa moja x2
1. Kikombe kile cha Baraka tukibaarikicho je si ushirika wa damu ya Kristo?
2. Mkate uletumegao je si ushirika wa mwili wa Kristo?