Mtunzi: A.Family
> Mfahamu Zaidi A.Family
> Tazama Nyimbo nyingine za A.Family
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Aloyce Family
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiKwa kuwq mkate ni mmoja sisi tulio wengi, tu mwili mmoja tu mwili mmoja×2
1..Kwa maana sisi sote twapokea sehemu ya ule mkate mmoja.
2..Waangalieni hao waisrael walivyokuwa jinsi ya huo mwili.
3..Wale wazilao dhabihu hawana shirika shirika na madhabahu.