Mtunzi: G. Hanga
> Tazama Nyimbo nyingine za G. Hanga
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 698 | Umetazamwa mara 2,536
Download Nota Download Midi(I: Mimi ndimi mkate wa uzima)Asema Bwana. x2
//Yeye ajaye kwangu (IV: yeye) hataona njaa kabisa (yeye), Yeye aniaminiye (III&IV: hataona) hataona kiu kamwe.//x2
1. Lakini naliwaambia, ya kwamba mmeniona, wala wala hamuamini, asema Bwana.
2. Wote a-nipao Baba, hao watakuja kwangu, nami katu sitawatupa, asema Bwana.
3. Mimi nimekuja yafanya, mapenzi ya Baba yangu, ndiye aliyenipeleka, asema Bwana.