Ingia / Jisajili  Changia

Mkatoliki

Mtunzi: Emil Shayo
> Mfahamu Zaidi Emil Shayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil Shayo

Makundi Nyimbo: Anthem

Umepakiwa na: Selestine Joseph

Umepakuliwa mara 25,704 | Umetazamwa mara 17,337

Download Nota (TZS 20)

Maoni - Toa Maoni

STEPHEN SANGA Sep 08, 2025
Emily tangia nimeonana na wewe nilikuwa nakuchukulia poa sana, lakini kwa huu utunzi hakika Mungu akubariki sana na akufanyie kila tatizo kwako kuwa jepesi kwa maana wengi wanabarikiwa sana kila Kona

Benedicto George Kundya Aug 08, 2025
Nakupenda sana

Benjamin Essau Jul 02, 2025
Pongezi nyingi sana kwa wimbo huu

Sylivia Shayo May 21, 2025
Mwenyezi Mungu amtunze hakika nyimbo imetubariki mno

Michael Mushi Apr 01, 2025
Napongeza kwa nyimbo nzuri sana, mpangilio wa nota mzuri

Benson kikoti Oct 18, 2024
Wimbo bora kuwahi kutokea ni huu hapa

Maria shao Oct 16, 2024
Nyimbo nzuri sanaa

Godfrey kazoba Aug 09, 2024
Ponzi sana wimbo mzuri sana

Toa Maoni yako hapa