Ingia / Jisajili

Mkewako atakuwa Kama mzabibu

Mtunzi: January Masaka
> Tazama Nyimbo nyingine za January Masaka

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 643 | Umetazamwa mara 1,529

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MKE WAKO ATAKUWA KAMA MZABIBU WENYE KUZAA MATUNDA MATUNDA NYUMBANI MWAKOX2 (1)Nawa to to wako wataizunguka meza meza yako Kama vichipukizi vya mizeituni mwako.(2)Nivi ndivyo atakavyo barikiwa mtu yule atakavyo barikiwa amchaye Bwana.(3)Bwana akubariki siku zote sikuzote akubariki siku zote zamaisha yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa