Mtunzi: Dr. Alex Xavery Matofali
> Mfahamu Zaidi Dr. Alex Xavery Matofali
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Alex Xavery Matofali
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Alex Xavery Matofali
Umepakuliwa mara 2,938 | Umetazamwa mara 7,448
Download Nota Download MidiMkono wako wa kuume amesimama Malkia amevaa dhahabu ya ofiri x2
Mashairi
1. Binti za wafalme wamo miongoni mwao, mwa akina bibi wako wastahiki.
2. Sikia binti utazame utege sikio lako uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako
3. Naye mfalme atatamani uzuri wako maana ndiye Bwana wako umsujudie
4. Watapelekwa kwa furaha na shangwe na kuingia katika nyumba ya mfalme