Ingia / Jisajili

Moyo Mtukufu Wa Yesu

Mtunzi: Fidelis. Kashumba
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis. Kashumba

Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 6,249 | Umetazamwa mara 10,754

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

(IV: Moyo Mtukufu), Moyo wake Ye-su; (IV: Moyo Mtakati-fu), Moyo wa huruma. Moyo wa mape-ndo Mo-yo wa Rehema; [utujalie mapendo yako Bwa-na x2].

Mashairi:

1a) Makusudi ya Moyo, ni kwa vizazi vyote

   b) Na shauri la Bwana, lasimama miilele.

2a) Heri yake taifa, Bwana ni  Mungu wao,
  b) Toka juu mbinguni, Bwana huchungulia.
 
3a) Bwana huangalia, huona wanadamu,
  b) Kutoka aketipo, huona duniani.
 
4a) Tazameni ni jicho, Ni jicho lake Bwana,
  b) Lipo kwao wamchao, wangojao fadhili.
 
5a) Huwaponya nafsi zao, walio na mauti,
  b) Pia huwashibisha, wakati wenye njaa.

Maoni - Toa Maoni

Clement Lugoda Dec 03, 2018
Tumsifu Yesu Krisitu, Huu wimbo nimeshindwa kuupakua!?

Toa Maoni yako hapa