Ingia / Jisajili

Moyo Mtukufu

Mtunzi: Deo Kalolela
> Mfahamu Zaidi Deo Kalolela
> Tazama Nyimbo nyingine za Deo Kalolela

Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 7,266 | Umetazamwa mara 13,737

Download Nota
Maneno ya wimbo

Moyo mtukufu moyo wake Yesu moyo wa Yesu moyo wa mapendo wa huruma wa a mani utujalie tumaini daima x 2

  1. Moyo wa Yesu utujalie tuishi kwa amani utujalie matumaini daima.
     
  2. Moyo wa Yesu faraja yetu na kimbilio letu utujalie matumaini daima.
     
  3. Moyo mpole moyo wa Yesu msaada kwa wagonjwa utujalie matumaini daima. 
     
  4. Moyo wa Yesu tuangazie tufuate mafundisho tuwe na imani ya kweli siku zote.

Maoni - Toa Maoni

Mark Nov 28, 2021
Moyo wa mtunzi huyu umejaa Amani there?

JOSPHAT May 31, 2021
Wimbo mzuri sanaa naomba Audio au midi please ?

Willy Mwangi Feb 13, 2019
Wimbo mzuri, I would like to have the Audio of the song, if possible. Barikiwa sana.

Benjamin bayo Jun 19, 2017
Pongeza, Kosoa...wimbo uko vizuri xana Hongera mtunzi

Godfrey T.Joseph May 18, 2016
hongera sana kwa huo wimbo

Godfrey Joseph May 18, 2016
Wimbo huo naupenda sana Naomba unitumie.

Toa Maoni yako hapa