Ingia / Jisajili

Moyo Wake Yesu Kristu

Mtunzi: Boniface Muyonga
> Mfahamu Zaidi Boniface Muyonga
> Tazama Nyimbo nyingine za Boniface Muyonga

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Boniface Muyonga

Umepakuliwa mara 200 | Umetazamwa mara 1,035

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MOYO WAKE YESU KRISTU Moyo wake Yesu Kristu umejaa huruma, moyo wake mtulivu moyo wake wa Amani Moyo wake ni moyo wa mapendo ni moyo wa huruma kimbilio letu kweli x2 1. Nasi tuna faraja kweli ndani ya moyo moyo wake Yesu. Umejaa neema nyingi utujalie moyo wa huruma 2. Moyo safi hazina yetu ndani ya moyo moyo wake Yesu. Naye Yesu hutoa bure utujalie moyo wa huruma 3. Sisi sote tuvutiwe vyema ndani ya moyo moyo wake Yesu. Moyo mwema utujalie utujalie moyo wa huruma 4. Neema bure tumepokea ndani ya moyo moyo wake Yesu. Tufurahi hata milele utujalie moyo wa huruma
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Isaiah Kariuki May 28, 2020
Wimbo mzuri..i like it

Toa Maoni yako hapa