Mtunzi: John Hilary
> Mfahamu Zaidi John Hilary
Makundi Nyimbo: Majilio | Mama Maria
Umepakiwa na: Melkior Ngooh
Umepakuliwa mara 762 | Umetazamwa mara 2,556
Download Nota Download Midi
Kiitikio
Moyo wangu wamtukuza Bwana na Roho yangu inashangilia, kwa Mungu wangu Mkombozi wetu X2
Mashairi
1. Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, kama mwanzo na sasa hata milele, kwa Mungu wangu Mkombozi wetu
1. Kama mwanzo na sasa na siku zote hata milele, atukuzwe Mungu atukuzwe daima, kwa Mungu wangu Mkombozi wetu
3. Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu na milele na milele amina, kwa Mungu wangu Mkombozi wetu.