Ingia / Jisajili

Mpanzi

Mtunzi: Deus V.Chicharo
> Mfahamu Zaidi Deus V.Chicharo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deus V.Chicharo

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: DEUS VITUS

Umepakuliwa mara 477 | Umetazamwa mara 1,880

Download Nota
Maneno ya wimbo
  • Mpanzi aliondoka kwenda kupanda mbegu shambani shambani mwake x2
  • Mbegu nyingine zilianguka zikamea zikazaa zaidi zikamea zikazaa kwasababu zilianguka kwenye udongo mzuri mbegu zile zikamea zikazaa zaidi.
  • 1.Mbegu ni neno la Mungu zile zilizoanguka.Mbegu ni neno la Mungu zile zilizoanguka njiani ndio wale walisikiao neno la Mungu kisha huja ibilisi na kuliondoa mioyoni mwao,wasiamini wakaokoka.
  • 2.Mbegu ni neno la Mungu zile zilizoanguka mwambani ndio wale walisikiao neno la Mungu huamini kitambo kidogo na kwakuwa hawana mizizi matunda yao hayaivi.
  • 3.Mbegu ni neno la Mungu zile zilizoanguka kenye miba ndio wale walisikiao neno la Mungu kwakusongwasongwa na shughuli mali na anasa za maisha wajaribiwapo huanguka.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa