Ingia / Jisajili

Mpeni bwana

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 280 | Umetazamwa mara 1,272

Download Nota
Maneno ya wimbo
Mpeni bwana enyi jamaa za watu mpeni bwana utukufu na nguvux2 mpeni bwana( utukufu) wa jina lake( leeteni) sadaka mkaziingie nyua zakex2. Shairi: 1; mpeni bwana utukufu wa jina lake leeteni(leteni) sadaka(zenu) mkaziingie nyua zake. 2; Ee bwana mungu tunakutolea sadaka uipokee(upokee) bwana( mungu) Ni sadaka yet Wana wako. 3;sadaka yangu naileta kwako bwana uipokee(upokee) bwana( mungu) kama shukrani kwako Ee mungu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa