Mtunzi: Venant Mabula
> Mfahamu Zaidi Venant Mabula
> Tazama Nyimbo nyingine za Venant Mabula
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 9,345 | Umetazamwa mara 13,807
Download Nota Download MidiMpigie Mungu kelele za shangwe nchi yote x 2 Imbeni utukufu wa jina lake, tukuzeni sifa zake , mwambieni Mungu matendo yako yanatisha kama nini x 2.
Mashairi:
1.Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako, adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako.
2. Nchi yote itakusujudia, naam italiimbia italiimbia jina lako.
3. Njoni yatazameni matendo ya Mungu, hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu.
4. Aligeuza bahari kuwa nchi kavu, katika mto walivuka kwa miguu huko ndiko tuliko mfurahia Mungu.