Mtunzi: Emmanuel N. Stephano
> Mfahamu Zaidi Emmanuel N. Stephano
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel N. Stephano
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka | Zaburi
Umepakiwa na: Donald Jilala
Umepakuliwa mara 547 | Umetazamwa mara 1,922
Download Nota Download MidiMpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote imbeni utukufu wake x2, Tukuzeni sifa tukuzeni sifa zake aleluya aleluya aleluyax2.